SHENG NEWS

Msee anaweza wai Monkeypox kwa sekete

Ma scientists wanadai kuna vile Monkeypox inaweza transmitiwa kwa sekete kama tu ukedi, na ndio maana hio outbreak imeshika teke Brito. Bafo walikua wanaamini inaweza spread na close contact na msee ana dent ama kidonda, ama maira zinamwagika, ama kama msee ana kohoa ama kusneeze.

Follow Us

Recent Posts

error: Content is protected !!
en_USEnglish